Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Napenda kuitwa mamy goodnightMbona nipo mamy
Napenda kuitwa mamy goodnightMbona nipo mamy
hatari mazoezi yanahtaji kujitoa kweli kweli

Oya Intelligent businessman ni nini shida mbona watujaza hofu mkuu? Tuweke wazi unayopitia hata kama hatufahamiani. Pole kwa hali unayopitia na usikate tamaa kamwe, enjoy and thanks God for every second of life in this universe.Kama nitakwenda,Basi natamani nikumbukwe kwa mema. Najua hatujawai onana but tulikua poa.
Sina shida na mtu ila maisha lazima yaendelee, kudos to everybody ambao tuli hang hapa.
Sorry to everybody maybe niliwauzi kutokana na utani, hasira, kupanic but I love and respect you all.
Kifo kipo kwa kila mtu but unaumia zaidi unapojua na kufahamu mwisho wakooo but salute to youuu
Maybe in next life Kama ipoo, tutaonana kwa muumba
Bantu Lady Dahan boss Mwachiluwi Half american Mr kenice mzee wa kudoji Suchack
Kama utakwenda? Maana yake kuna option ya kutokwenda?Kama nitakwenda,Basi natamani nikumbukwe kwa mema. Najua hatujawai onana but tulikua poa.
Sina shida na mtu ila maisha lazima yaendelee, kudos to everybody ambao tuli hang hapa.
Sorry to everybody maybe niliwauzi kutokana na utani, hasira, kupanic but I love and respect you all.
Kifo kipo kwa kila mtu but unaumia zaidi unapojua na kufahamu mwisho wakooo but salute to youuu
Maybe in next life Kama ipoo, tutaonana kwa muumba
Bantu Lady Dahan boss Mwachiluwi Half american Mr kenice mzee wa kudoji Suchack
Goodnight too mamy 😘 sleep wellNapenda kuitwa mamy goodnight

Mmmh!!Kama nitakwenda,Basi natamani nikumbukwe kwa mema. Najua hatujawai onana but tulikua poa.
Sina shida na mtu ila maisha lazima yaendelee, kudos to everybody ambao tuli hang hapa.
Sorry to everybody maybe niliwauzi kutokana na utani, hasira, kupanic but I love and respect you all.
Kifo kipo kwa kila mtu but unaumia zaidi unapojua na kufahamu mwisho wakooo but salute to youuu
Maybe in next life Kama ipoo, tutaonana kwa muumba
Bantu Lady Dahan boss Mwachiluwi Half american Mr kenice mzee wa kudoji Suchack
Wish ningekuwa na option ya kuchagua, but hakunaa. Na ishathibitishwa no chanceKama utakwenda? Maana yake kuna option ya kutokwenda?
Nadhani mpaka kunakucha utakuwa umechagua option ya pili hiyo.View attachment 2516633
😂😂 nenda kalale tu asijekubonda bure
Hi
Wish ningekuwa na option ya kuchagua, but hakunaa. Na ishathibitishwa no chance
😄 komaa[mention]Half american [/mention] nimechoka leo nipo seblen ila kemgele zinalia akinifwata sichomi
Tena![]()
Salute kwako mkuu, being a jf member kwa zaidi ya miaka 13 si mchezo.Mh
Mmmh!!
Haibadilishii kitu mkuu, ila no way out comrade.Oya Intelligent businessman ni nini shida mbona watujaza hofu mkuu? Tuweke wazi unayopitia hata kama hatufahamiani. Pole kwa hali unayopitia na usikate tamaa kamwe, enjoy and thanks God for every second of life in this universe.
😂 mwamba yupo siriaziHaya basi tupe location walu tuhudhurie msiba wako tuweke shada
komaa
What's the problem? Hakuna kitu kisichokuwa na solution, kigumu kwako ila kwa wengine kinaweza kuwa na njia za kutokea.Hi
Wish ningekuwa na option ya kuchagua, but hakunaa. Na ishathibitishwa no chance
Sio poa... Ananikata stimuuu😭😂 mwamba yupo siriazi
Basi hauna sababu ya kuhuzunika kiasi hicho mkuu. Nna imani tutazidi kuwa pamojaHaibadilishii kitu mkuu, ila no way out comrade.