kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,873
03:45
Mmmmh!!!03:45
Karibu Lindo Bantu Lady [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mmmmh!!!
Asante karibu nawewe. Mimi hapa ndiyo home 😂😂😂😂😂 nawewe jisikie uko home kabisa...Karibu Lindo Bantu Lady [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Bantu Lady haya bana salama lakiniAsante karibu nawewe. Mimi hapa ndiyo home [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawewe jisikie uko home kabisa...
Salama kabisa, leo usingizi umegawa wapi? Huna hata kawifi pembeni hapo 😜😜😜😄😄😄😄[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Bantu Lady haya bana salama lakini
Hamna aise yaani umekata tu vuu kama umeme wa j makamba kwa hio nipo tu nashangaa shanga tu Bantu LadySalama kabisa, leo usingizi umegawa wapi? Huna hata kawifi pembeni hapo [emoji12][emoji12][emoji12][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Pole sana, nami nimeshtuka tu, ngoja nijibembeleze tena kulala 😑😑😑😑Hamna aise yaani umekata tu vuu kama umeme wa j makamba kwa hio nipo tu nashangaa shanga tu Bantu Lady
Baba chanja si yupo itabidi afanye kazi ya kukubembeleza ujue [emoji16][emoji16][emoji16] Bantu LadyPole sana, nami nimeshtuka tu, ngoja nijibembeleze tena kulala [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Hayupo kasafiri 😄😄😄😄😄 nabembelezwa na mito tu hapa. Nimeikusanya yote, utasema ni mtu basi raha mstarehe.Baba chanja si yupo itabidi afanye kazi ya kukubembeleza ujue [emoji16][emoji16][emoji16] Bantu Lady
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ua mito mtu Bantu LadyHayupo kasafiri [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nabembelezwa na mito tu hapa. Nimeikusanya yote, utasema ni mtu basi raha mstarehe.
Umeitamani best 😅😅😅😅[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ua mito mtu Bantu Lady
Bantu Lady natamani mimi ndio ningekua hio mito [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umeitamani best [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Leo no morning Glory maana muda ndiyo unakaribia 04:56Hayupo kasafiri [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nabembelezwa na mito tu hapa. Nimeikusanya yote, utasema ni mtu basi raha mstarehe.
Morning glory hutaki?Unazingua mkuu 😫😫
Ndo muda wenyewe mkuu....saa 04:00-05:59 then 06:00 kaznLeo no morning Glory maana muda ndiyo unakaribia 04:56