Leo nilikuwa napita mitaa ya kanisa moja hivi, ambapo nilimuona binti mmoja akiwa anasali kanisani.
makadirio ya umri wa binti huyu ni kama ana miaka 31, akiwa kanisani alikuwa anasali au kuomba kwa sauti kubwa kidogo.
maombi yake yalikuwa yana husiana na hitaji la kupata mchumba,kwani nilimsikia akisema ya kwamba amechezewa sana.
hiivyo alihitaji mchumba mwenye sifa moja tu ambayo ni mchumba "anayevuta pumzi tu".
Kutokana na ushauri kutoka kwa big boss
Mwachiluwi, alinipa sharti nioe ili anipe kazi. Nikawaza🤔🤔sijui nijipitishe anione??.
Ila nilivyojiwazia mi mwenyewe🤔🤔, ghafla nilianza kuona kizungu zungu kwani nilijiona ninaweza kumfanya binti afe kwa presha .kutokana na sifa zifatazo👉👉👉
👉Mimi ni jobless wa kimataifa.
👉Mimi sio handisamu,Sina pesa Wala kitega uchumi .
👉Nina sura nzito Kama chapati liyokosa mafuta.duh🖐️🖐️
👉Hizi dini za wakoloni, sizielewi kabisa.
👉Yaani wakiniambia mahari m3, si ninaweza nikafa kwa khoro😂😂
Ghafla kwa mbali, nilisikia sauti ikisema "we jobless wa kimataifa"Mbona unaongea huku umelala??, .
Kumbe jamani hatupaswi kujilaumu kuhusu Jana yetu, bali inatupasa kuboresha kesho yetu.
To yeye Bantu Lady,
Mwachiluwi National Anthem,
stow away na
Dahan .