Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Dah nimevurugwaaa madam.Sorry,sijaelewa pia kuwa wataka kula nn
Dah nimevurugwaaa madam.Sorry,sijaelewa pia kuwa wataka kula nn
Dah nimevurugwaaa madam.
Ndo maana hukui01:33 morng
Pole sanaDah nimevurugwaaa madam.
Pole sana
Katngwa na majukumu....but soon atakuwa hewaniShem umemficha wapi kak angu mbona simuoni au na ww upo kama yule mama wa bagamoyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Katngwa na majukumu....but soon atakuwa hewani
Nilisinzia mida ya saa4 kasoro nikaja kushtuka saa6 na dk kadhaa lah halaullah mpaka dk hii nimezunguka mitaani kama sungusungu naona ninapoelekea nitadakwa sshv kwa uzurulaji
Atarudi soonNikajua umemficha ase
Atarudi soon
Niponipo mkuuSawa mkuu leo unakesha na sisi
Si chini ya elfu20 au 30 kisa tu nimekosa usingizi na utalipia pesa hiyo na unaenda lala chini huku umebanana na mateja, majambazi, wauaji na kila laana ya mtu [emoji848][emoji23][emoji23] ngoja nigeuze nikatulie kwenye godoroNa ukienda police atukubali utoke bure usche ela ya maji