Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Si chini ya elfu20 au 30 kisa tu nimekosa usingizi na utalipia pesa hiyo na unaenda lala chini huku umebanana na mateja, majambazi, wauaji na kila laana ya mtu [emoji848][emoji23][emoji23] ngoja nigeuze nikatulie kwenye godoro
Na bado mbu hawaja kuzomea masikiona wengine mbu wanakutekenya miguuni hili mladi tu usifurahi