😂🚶🚶00:28 ko mna maanisha wote mmevusha au kuvushwa Bantu Lady To yeye Dahan National Anthem Mwachiluwi stow away. dah kweli jobless nina shughuli ndefu
00:45 mmepoa Sana jamani
Lala bhana usiwe kama popobawaMmelala wakuuu
Lala bhana usiwe kama popobawa
Wee,sema kweli😳Mimi ni popo bawa hujui tu
Ndio ivyo mimi popo bawa naazza kuwapitia watu wote humu walio comment hii threadWee,sema kweli😳
😳utachoka kiuno balaaNdio ivyo mimi popo bawa naazza kuwapitia watu wote humu walio comment hii thread
Nikichoka kiuon napumzika maana naona kuna watu wamelala takrooo lipo juu juuu😳utachoka kiuno balaa
😂😂😂😂we jamaa wewe.khaaNikichoka kiuon napumzika maana naona kuna watu wamelala takrooo lipo juu juuu
Napita afu naaza kuyapiga kamanavyochezea kinanda kule kanisani😂😂😂😂we jamaa wewe.khaa
Huna mda mrefu humu kwa unavyopachukulia poa ucjepasuka ukaanza kulia na kutoweka humuNdio ivyo mimi popo bawa naazza kuwapitia watu wote humu walio comment hii thread



Embu nifafanulie maana hili nifumbo mkuuHuna mda mrefu humu kwa unavyopachukulia poa ucjepasuka ukaanza kulia na kutoweka humu![]()
Karibu nipo lindo mimi leoAsee sijui alosto usingizi umekata saa 0235
Upo lindo unalalaje sasaNgoja nalale sasa