JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Usingizi umekata wajameni, mbaya zaid nipo ugenini ingekuwa home nimeamka zangu niende kiduka cha Mangi nikachukue dawa....
 
Usingizi umekata alafu dirisha la jirani katoka kuoa abachonifanyia kukicha naenda muombea notice kwa mwenye nyumba wake yaani kama anachinja mtu kwa wembe mamaae
 
Ngoja ajipendekeze, namuona sana yaani ana mambo ya kike sana. Na hajijui anaona sifa, nina wasiwasi na maisha yake halisi. Chawa kama chawa [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ila kazi ya uchawa ngumu jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa hapo najipanga kurusha ngumi kabisa asijipendekeze kwa pisi za watu jaman na kishika Uchumba tumetoa
 
Back
Top Bottom