Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,589
- 17,736
Nakusalimia kwajina la jamhuri ya wanaJF. Upo powa my Bantu lady?01:30
Hivi bado upo Arusha?Fresh Sana ......
#YNWA
We mzee baba, uko powa usiku huu? Tulishazoea kukuona ukiongea na wasioonekana🤣🤣Upo fresh lakini??
Nipo fresh kabisa, zile huwa ni conversation dialogue ninazotunga.We mzee baba, uko powa usiku huu? Tulishazoea kukuona ukiongea na wasioonekana🤣🤣
Asante kwa kuniita sweetheart. Naona umeizingatia detail yangu, alafu nipo safarini ujue😊Dahan Uchira 1 Sierra One Pendaelli Intelligent businessman Mr kenice To yeye Akhi fyddell Mwachiluwi National Anthem Glenn Forest Hill Mkalimani wa Bibi Ambiele Kiviele Iceberg9 Boogman East ahmed albahshahwa Half american makidee KIDUME20 tamuuuuu Mihayo DP Winnone Liverpool VPN De Professor
Hello 👋👋👋 USIKU WA MANANE FAMILY
Naelewa sana, sasa katika lugha rahisi ndio nasema unaongea na mtu asiyeonekana it's a talk from within☺️Nipo fresh kabisa, zile huwa ni conversation dialogue ninazotunga.
Yap, afu huwezi amini ya kwamba huwa natunga on spotNaelewa sana, sasa katika lugha rahisi ndio nasema unaongea na mtu asiyeonekana it's a talk from within☺️
Ni kipaji, ukiachilia hilo na kama utalizingatia linaweza kukufanya uje kuwa mwandishi mzuri wa vitabu baadaeYap, afu huwezi amini ya kwamba huwa natunga on spot
We ni mtu wa 3 kuzielewa, Kuna jamaa alinambia nitunge ya porini. Ila sipo sawa coz naumwaNaelewa sana, sasa katika lugha rahisi ndio nasema unaongea na mtu asiyeonekana it's a talk from within☺️
Naelewa mkuu, Kuna app huwa tunashindana kuandika dialogue. Nishawai kuwemo top 30.Ni kipaji, ukiachilia hilo na kama utalizingatia linaweza kukufanya uje kuwa mwandishi mzuri wa vitabu baadae
Hongera sana mkuu. Keep it up, katika siku ambayo huijui utashangaa hiko ukifanyacho sasa baadae kikaanza kukulipaNaelewa mkuu, Kuna app huwa tunashindana kuandika dialogue. Nishawai kuwemo top 30.
Thanks bro, japo kwa Sasa Kuna vitu Kama v2 ndivyo naviumizia akili.Hongera sana mkuu. Keep it up, katika siku ambayo huijui utashangaa hiko ukifanyacho sasa baadae kikaanza kukulipa
In any way of success, there must challenges to be encountered. Hakikisha unavimaliza hivyo vipingamizi ili usonge mbele boyThanks bro, japo kwa Sasa Kuna vitu Kama v2 ndivyo naviumizia akili.
Ooh uwe na safari njema, umekuwa mtoro sana wa lindo...Asante kwa kuniita sweetheart. Naona umeizingatia detail yangu, alafu nipo safarini ujue😊
Yeah ni kwa siku kadhaa tu my lady. Ndo naitafuta Iringa mjini sasa kuelekea DarOoh uwe na safari njema, umekuwa mtoro sana wa lindo...