Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Leo nimeamua kulala uswahilini aiiisee najuta kuna mapaka yanaliaa mpaka kero cha ajabu mtu niliyelala nayee pembeni yangu anakoroma
Uswahilini shikamoo
Uswahilini shikamoo
Lazima waje
Mbona nimefika kitambo sanaSina shaka na Hawa
Lazima waje
Yeah leo ntaupiga kidogoLeo umekuwa wakwaza mkuuu
Itakuwa wanamalizia majukumu ya usiku kabla ya kutimbaSina shaka na Hawa
Lazima waje
Yes,am right here👀00:10 I hope each of you, had a nice day To yeye Bantu Lady Glenn Dahan Mwachiluwi National Anthem, so shall we begin the race
Leo huchoshwi??Yes,am right here👀
Nipo nawaza namna ya kupata pesa ya kujazia mtungi wa gesi.....niokoeni jaman hali siyo mwenzenu😔Leo huchoshwi??
Nipo hapa Mkuu,nipe jipya wangu
Gesi si 50000, kwa 25000 inakushinda vipi madam wa math??Nipo nawaza namna ya kupata pesa ya kujazia mtungi wa gesi.....niokoeni jaman hali siyo mwenzenu😔
Ndo sina hiyo 50k mkuuGesi si 50000, kwa 25000 inakushinda vipi madam wa math??