Mzee Uto lala!01:43 hakuna kulala, hata kama hujala
Mzee Uto lala!01:43 hakuna kulala, hata kama hujala
Sawa Mkuu ngoja nikabidhi lindo kwa muda 01:53Mzee Uto lala!
Powa brother, hope upo salama?Nawasalimu walinzi wenzangu kwajina la JF.. mko pouwa?
Yeah niko fresh mdogo wangu naona umeingia kwenye detail ya ulinzi aminifu☺️Powa brother, hope upo salama?