Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,920
Tatizo nawadangia humu humu siwatoi nje ya ukumbiMadanga yako Zulu man na National Anthem wanafeli wapi aiseeh
Tatizo nawadangia humu humu siwatoi nje ya ukumbiMadanga yako Zulu man na National Anthem wanafeli wapi aiseeh
Kwa hiyo, unataka kunitoa Mimi ehhTatizo nawadangia humu humu siwatoi nje ya ukumbi
mzee ka 50k.. ebu mupeee akachukue gas ya oryxKwa hiyo, unataka kunitoa Mimi ehh
Tafadhali,kwa Leo tu just save me😔Kwa hiyo, unataka kunitoa Mimi ehh
Enhe,tena ni kampuni hiyohiyo....but kwann isiwe wewemzee ka 50k.. ebu mupeee akachukue gas ya oryx
KaribuEmbu leo nijisajili humu rasmi maana nisha kua nightmare sana nao deiz na huu uzi naupotezeaga tu
aaah! mie kula kulala, nalala chumba cha uani kwa mzee wangu.. 50 ntaitoa wapi.. 😅😅😅Enhe,tena ni kampuni hiyohiyo....but kwann isiwe wewe
Eti ka 50k, as if ni ka drop of waterTafadhali,kwa Leo tu just save me😔
Hapo kwanza, nichenke mie, yaani we To yeye na National Anthem mnataka kunipiga collabo ehhTafadhali,kwa Leo tu just save me😔
😕jaman,but soraaah! mie kula kulala, nalala chumba cha uani kwa mzee wangu.. 50 ntaitoa wapi.. 😅😅😅
Mbona mi nalala nje,jobless wa kutupwaaaah! mie kula kulala, nalala chumba cha uani kwa mzee wangu.. 50 ntaitoa wapi.. 😅😅😅
😂tatizo hamuamini kama ni kweliHapo kwanza, nichenke mie, yaani we To yeye na National Anthem mnataka kunipiga collabo ehh
Usifanye ivo,em Fanya nitakurudishia basMbona mi nalala nje,jobless wa kutupwa
😀😀😀 mkuu kutoa ni moyo, mpe utabarikiwaHapo kwanza, nichenke mie, yaani we To yeye na National Anthem mnataka kunipiga collabo ehh
home kuna raha yake 😅😅😅😅😕jaman,but sor
.....ila ungejitahidi kupambana kiume....maana kwa mwanaume kuganda kwa wazee ni soo mkuu
😃😃😃😃 jobless ila unamtumia To yeye 50k.. na mie natamani niwe kama weweMbona mi nalala nje,jobless wa kutupwa