fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,688
- 24,011
Yeah hili lindo ni la muda mrefu sana, huwa tunapotea na kurudi tena. Tunafurahi kuongezeka kwa walinzi wengine....Kabisa Mkuu acha tuwalinde wana JF ๐๐๐๐๐๐
Yeah hili lindo ni la muda mrefu sana, huwa tunapotea na kurudi tena. Tunafurahi kuongezeka kwa walinzi wengine....Kabisa Mkuu acha tuwalinde wana JF ๐๐๐๐๐๐
2014 nilikuwa hapa...nikapotea nimerudi mwishoni mwa 2022... pamoja MkuuYeah hili lindo ni la muda mrefu sana, huwa tunapotea na kurudi tena. Tunafurahi kuongezeka kwa walinzi wengine....
sasa wote tukiwa wasomi,nani atalinda jukwaa?Walisema ukitaka kumficha mwafrika sema siri uziweke kwenye maandishi.
Hasa wabongo sisi wavivu sana lwenye machapisho, ila vichapisho vya Mange vinafatiliwa sana
Haha boss mdogo nimerudi sasa kuunga juhudi ๐mie si ndio boss kubwa huku,wanakuja wanaondoka
kwa id na avatar ipi?2014 nilikuwa hapa...nikapotea nimerudi mwishoni mwa 2022... pamoja Mkuu
Oh safi sana, Ila sio kwa ID hii hiyo miaka ya 2014 si ndivyo?2014 nilikuwa hapa...nikapotea nimerudi mwishoni mwa 2022... pamoja Mkuu
vzr kamanda,Haha boss mdogo nimerudi sasa kuunga juhudi ๐
ID hii na Avatar niliyoibadilisha. Miye hapa kitambo sana naingia mwaka wa 9 sasakwa id na avatar ipi?
Mh kwa ID hii miaka 9?๐คID hii na Avatar niliyoibadilisha. Miye hapa kitambo sana naingia mwaka wa 9 sasa
ok!sawa karibuID hii na Avatar niliyoibadilisha. Miye hapa kitambo sana naingia mwaka wa 9 sasa
kwa wadada ni ngumuMh kwa ID hii miaka 9?๐ค
Kabisa hii hii sijawahi badili ID, sina mambo mengi miye. Tunacheka siku inaisha.Mh kwa ID hii miaka 9?๐ค
Yeah cha msingi ni kumshukuru Mungu kwa kilasiku inayopita salama.Kabisa hii hii sijawahi badili ID, sina mambo mengi miye. Tunacheka siku inaisha.
Seems she has been here all that long with the same ID mkuu.kwa wadada ni ngumu
Ugumu wake ukoje mtu chake?kwa wadada ni ngumu
uzoefu wangu,wadada mnaongoza kubadili id na avatarUgumu wake ukoje mtu chake?
Nimeona hilo pia, sijajua kwanini...uzoefu wangu,wadada mnaongoza kubadili id na avatar
Sawa mkuu, wacha sisi tuimarishe ulinziEndeleeni kulinda mimi naaga 4:52.