karibu kahawa binti mrembo mlinzi04:00
jiandae na sabato au jumuia04:06
Asante lindo tunalilinda ipasavyo 😆😆😆😆😆karibu kahawa binti mrembo mlinzi
tuko pamoja,doria kendaAsante lindo tunalilinda ipasavyo 😆😆😆😆😆
Mkuu tena chapisho? Usijetusema sisi hapa bure, siye ndiyo tunailinda JF hili ni lindo kamili.Asubuhi pakichangamka nadhani nitakuja na chapisho flani nilichogundua JF
wasomi hao muda wote wanawaza machapisho tuMkuu tena chapisho? Usijetusema sisi hapa bure, siye ndiyo tunailinda JF hili ni lindo kamili.
Tuko weekend ilianza toka jumatano...
Cheer's 🥂
Mkuu bado upo kwenye doria ya kudumu huku 😆😆tuko pamoja,doria kenda
Binti wa kibantu mambo.... Naona unadumisha utaratibu wa lindo 😊04:35
Walisema ukitaka kumficha mwafrika sema siri uziweke kwenye maandishi.wasomi hao muda wote wanawaza machapisho tu
Kabisa Mkuu acha tuwalinde wana JF 😄😄😄😄😄😄Binti wa kibantu mambo.... Naona unadumisha utaratibu wa lindo 😊
mie si ndio boss kubwa huku,wanakuja wanaondokaMkuu bado upo kwenye doria ya kudumu huku 😆😆
Kitambo sana aisee