spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Wewe ni mshindi kwangu kila muda!AIsee spade unanipenda hadi raha jomoni
Wewe ni mshindi kwangu kila muda!AIsee spade unanipenda hadi raha jomoni
Spade wanguM![]()
rAt
![]()
Nitalipamba jina lako kila usiku wa manane hadi roho yako isuudhike.Spade wangu
We lala mi ntakulinda. Lala unono!Jamani mie leo si simba si yangua. Usingizi sio wa nchi hiispade lala bana tukue. Usiku mwema
Last man standing
nakuonaga unakishaamka asubuhi unakuja kusign out na huo msemo wako. Unanichekeshaga kweli

Oohooo! Vipi tena best?Jamani mie leo si simba si yangua. Usingizi sio wa nchi hiispade lala bana tukue. Usiku mwema
Kwa kweli hiyo ole hainihusu kabisa maana mimi nalalia kitanda cha 2*6 sina upweke maana nabanana vyema na ukutaOle wao, walalao peke yao kwenye 6*6 kwa maana upweke na hasira bila kusahau popobawa havitawaacha salama![]()
![]()

Thad hapendi mimi kuwa last man standingTupo mamy!Humu ndanii mpoooo??
Mzima..je ww dear?Tupo mamy!
Mzima weye?