Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
POPOOOOOOOOZ!
Ruksa mpenzi, zungumzaTupo baby wa shemeji yangu.....nina ombi kwako my dear![]()
![]()
Kwema kabisa, mambo vipi aiseehsalama humu kijiweni
Naomba uniazimishe shemeji, nitakurudishia mvua zikiisha.Ruksa mpenzi, zungumza

Popoooo habari mkuuPOPOOOOOOOOZ!
Salama kabisa captainsalama humu kijiweni
Shemeji yako yupi unayemtaka wewe maana nina wengi,Naomba uniazimishe shemeji, nitakurudishia mvua zikiisha.![]()
![]()
shwari kabisa, uhali gan miss neyKwema kabisa, mambo vipi aiseeh
AIsee spade unanipenda hadi raha jomoni![]()
![]()
e RaT
![]()
Madrid kapigwa 3 kwa 1 na tottenham
Liverpool anaongoza 2 bila




woyoooo ongeza haosalama kamanda tushirikishe hiyo furahLeo nafuraha sana
Habari zenu popo wote
TUpo mamyMpoooooo
Njema jirani, tushirikishe na siye hiyo furaha yako tupate kufurahi pamoja.Leo nafuraha sana
Habari zenu popo wote
Yeyote tu, nisije nikataja unayemhitaji sana,nilete mgongano wa kimaslahi bure!Shemeji yako yupi unayemtaka wewe maana nina wengi,
Mtaje kwa jina ili pasiwe na ugumu wa kutafuta

Yaani nipo ndani ya shuka moja zito hatariTumelala mvua inafanya yake....
Kheri dingishwari kabisa, uhali gan miss ney
Kweli una furaha maana si kwa kushangilia kule lol!Leo nafuraha sana
Habari zenu popo wote
Salama,tushirikishe tufurahi soteLeo nafuraha sana
Habari zenu popo wote