Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,802
- 7,935
Mimi hii wiki rais wa Tz bara na Zanzibar wamenisalimia sana, wamenitumia sana msg zao ila nimewapotezea sijajibu hata moja, sasa hivi wameacha nahisi watakua wananitafutia kitengo nile shavu...

