JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuna hao sugar daddys wanawapa dreams come true na kuna sisi salt daddys tupo hapa kuweka mizani sawa. Nightmares come true.
 
Sema bongo pagumu,watu wanaweza kuchukia mafanikio yako,lakini kipindi unahustle waliwahi kukwambia komaa tunakuombea.
 
Back
Top Bottom