Kaory
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 585
- 1,184
Unaweza ukampata mwenye usingizi wa ponoHapo nitaongeza tatizo acha tu nitakuwa nasali huku nikipiga gambe kidogo
Unaweza ukampata mwenye usingizi wa ponoHapo nitaongeza tatizo acha tu nitakuwa nasali huku nikipiga gambe kidogo
cha tu 04:4904.42 si Yanga, si Simba
Bora hata wa hivyo kuliko mcharuko wa maneno usikuUnaweza ukampata mwenye usingizi wa pono
KabisaBora hata wa hivyo kuliko mcharuko wa maneno usiku
Kama hapa nimeshamaliza chupa mbili ndogo, sasa hapa nikaoge nitoke!Umetisha
Hujalewa? Aisee upo vizuriKama hapa nimeshamaliza chupa mbili ndogo, sasa hapa nikaoge nitoke!
Jamaa wewe ni over age. Ni kawaida ukiwa above fourtyNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Dah, kwa raha zenu mnalala, kwa shida zangu nipo kama mwanga
Last man standing![]()
Hivi, kwanini wanawake wanaongea Sana?Bora hata wa hivyo kuliko mcharuko wa maneno usiku
Kuna wanao kerwa na kuna wanao kerwa ila tu kwa jumla mwanamke anayejieshim huwa si mropokajiHivi, kwanini wanawake wanaongea Sana?
Mmekimbia selfika nakuzamia huku!11:43