JamiiForums Usiku wa manane
Ukikaa karibu na waislamu wengi muazini anakuamsha.
Ukikaa na wasio na dini wengi mbwa Koko hawakupi nafasi ya kulala.
Hivi nyie waswahili maskini mnafuga mbwa wa nini? Hamuwalishi, hawawalindi , usiku hatulali.
Hahahahaha na Tanesco nao wamefanya yao
 
Nitalifanyia kazi nikishtuka muda huwa nakata konyagi mpaka asubuh.
Bora hata uoe kuliko kuzoesha mwili pombe wakati huna kitu tumboni.
Tafuta mrembo mmoja mtaani awe anakupa mawazo mazuri wakati usingizi ukikata.
Wanawake wanakuwaga na mawazo ya kimaendeleo Sana hasa nyakati za usiku wa manane.
 
Hapo nitaongeza tatizo acha tu nitakuwa nasali huku nikipiga gambe kidogo
 
Bora hata uoe kuliko kuzoesha mwili pombe wakati huna kitu tumboni.
Tafuta mrembo mmoja mtaani awe anakupa mawazo mazuri wakati usingizi ukikata.
Wanawake wanakuwaga na mawazo ya kimaendeleo Sana hasa nyakati za usiku wa manane.
Hakuna formula, mimi usingizi umekata mwenzangu anakoroma tu, mnara wa babeli ukianza kukamata connection ndio anaamka
 
Back
Top Bottom