Fanya kimoja uone Kama hutapata usingiziNiliwahi kuingia kitandani ila ninashangaa mpaka saiz bado ninahangaika tuu
Ndio umestuka?05:50
Nilifanya mkuu lakin wapi, saiz ndio naamkaFanya kimoja uone Kama hutapata usingizi
Tupo, mijibwa ya jirani inapiga kelele tu, hakulalikiWalinzi wenza mmeoitiwa na usingizi?
Kama kawa..... Lindo haliwezi kaa bila askari.... Tupo hapa.....Walinzi wenza mmeoitiwa na usingizi?
