big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 401
- 1,089
Haha nami nangojea majibuHivi wengine mnafanyaje Hadi mnapata usingizi?
Haha nami nangojea majibuHivi wengine mnafanyaje Hadi mnapata usingizi?
Hawalal mchanaHivi wengine mnafanyaje Hadi mnapata usingizi?
Hapa Huwezi pata jibu,Wote ni wahanga.Hivi wengine mnafanyaje Hadi mnapata usingizi?
Nasikiliza magari yanavyopishana barabarani huko njeNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Duh aisee ushawawaingia na kuwatia gundu raia warudi kulalaKumekucha sasa
Wanga tunarudi vitandani mida hii kuzuga


