JamiiForums Usiku wa manane
Insomnia inatutesaaaaaaaa...

Kuna mtu sijamuona muda sana humu.
 
Leo nimeshindwa kulala. Kuna jirani kaleta lidemu lake lina ZIGO. Shida hilo lidada linapiga kelele kwa nguvu mno mpaka muda huu ni fujofujo. 0246
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
usiku ni muda tulivu sana wa kufanya jambo muhimu sana
 
Back
Top Bottom