Internal
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 3,579
- 3,924
Ok poa ngoja nibaki na madam flan amekujaHahahaha hapana mkuu mbona ya kawaida.
Mkuu nilikuwa napita nawaachia kijiti cha upopo
Ok poa ngoja nibaki na madam flan amekujaHahahaha hapana mkuu mbona ya kawaida.
Mkuu nilikuwa napita nawaachia kijiti cha upopo
Neybright na hio soft skin yako mmeendana kweli
Nikategemea utakuwa mshikiri mzuri kwenye ushirikishi,but nakuona jf now jomoniJaman nipo zamu lindo..
Ulinzi shirikishi..




Amina! ....Mimi sina tatizo na wewe...heri yao waombao msamaha maana watasamehewa
Ole wao washtaki maana nao watashtakiwa, hiki kitabu bwana, kiko kama msumeno.....kinakata huku na hukoHello![]()
SERATI
Vipi mamy! Kumekucha....
Ulipoteea wapi wewe mlinzi wa zamu jamani??0:25
Kabisa....wacha tusogeze sogeze huu usiku maana siku hizi naona unakuwa mrefu mnoKumekucha mida yetu![]()
Ole wao waliokua wanatamani wenzao wasombwe na mafuriko![]()
![]()
huhuh hatimae.....

SUre now daya usiku mrefuKabisa....wacha tusogeze sogeze huu usiku maana siku hizi naona unakuwa mrefu mno
KaribuWajombaaaa usingizi umekata