Imebid niulize mana ni 00:45 alaf watu wanaongezeka kuja badala ya kuagana ili tulale![]()
![]()
![]()
![]()
imebidi nicheke aisee. Duh.
Asanteh diaNeybright na hio soft skin yako mmeendana kweli
Imebid niulize mana ni 00:45 alaf watu wanaongezeka kuja badala ya kuagana ili tulale
wengine wako lindo.Nikiitwaga dia nakosaga pozi ujueAsanteh dia
Mmmmh! Si useme tu mvua ilikufanya ujukumike usiku na mchana?![]()
![]()

Baby unajua huu uzi ni wa usiku wa manane?Babe
Ata lindo mida hii unapotezea kidogo mkuu sio mwanzo mwisho![]()
![]()
wengine wako lindo.

Umenisababishia matatizo kwa kunitelekeza ticha wangu, hivi kweli huyo KK angeweza kunifundisha venyewe unanifundishaga ?![]()
![]()
![]()
Pole sana mwanafunzi mpya wa dirty head,![]()
Hebu sasa pokea uponyaji kwa jina la usiku wa manane utoke huko icu![]()
Niwe tu mkweli nimekumisimo zaidi ya mill 150 za BIKO.


Mekumithiii mondJaman nipo zamu lindo..
Ulinzi shirikishi..
Safi...Saa kumi hapana sidhani kama nitafika huko. I will handle you kwa Thad
Duh. Ulinzi shirikishi ndio kwanza wanatoka kwenda kulindaAta lindo mida hii unapotezea kidogo mkuu sio mwanzo mwisho![]()
![]()
![]()
![]()
Hatari kweli kweli. Wangesema na wadada tukalinde ningekuwa natoka na mto wangu kabisa
sawa my love nimekupataBaby unajua huu uzi ni wa usiku wa manane?
Sio ukiamka unacomment tuu hapana unatakiwa uvumilie mpaka usiku wa manane kuingia ndio ujibu na kulike sawa love?

Bas bhna ila siamini kuwa wote wabongo umuDuh. Ulinzi shirikishi ndio kwanza wanatoka kwenda kulinda
Wacha tu saa saba narudi zangu bdani nikagombane na kunguni zangu hukuu

Haya bwana wewe tueleze ulipokuwa0:25
Baby unajua huu uzi ni wa usiku wa manane?
Sio ukiamka unacomment tuu hapana unatakiwa uvumilie mpaka usiku wa manane kuingia ndio ujibu na kulike sawa love?
unaniua mbavu jamani!