Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Oooh! Mbona mapema hivyo? Au kwa kuwa leo ni blue monday?Jomoninimeanza kuzeeka. Usiku mwema wote,nawapenda team popo.
Oooh! Mbona mapema hivyo? Au kwa kuwa leo ni blue monday?Jomoninimeanza kuzeeka. Usiku mwema wote,nawapenda team popo.
Kesho hatuta fungua lakinimmmh leo nimezidiwa na usingizi
Hakika tunamshukuru Muumba ametuwezesha kuona siku hii mpyaHabari. Naona kumekucha siku mpya imeanza
Nimeona kazi ni kwako kufagilia
Aisee kesi haita kwepo hatukukosi kidhembe hiviOooh! Kesi tena!? Muulize baby wako....hapa watu wakiwa na kesi tu wanapotelea kusikojulikana![]()
sasa na mimi kuanzia kesho hutaniona mpaka uisahau kesi yangu
Ni vyema na haki kumshukuru. Na nina imani itakuwa siku njema na baraka tele kwa wadau woteHakika tunamshukuru Muumba ametuwezesha kuina siku hii mpya
Nisamehe tu shem....sitathubutu tena kuwachonganishautashikika tu..bahati nzuri sisahau kirahisi

Ulale unono na usingizi mororooJomoninimeanza kuzeeka. Usiku mwema wote,nawapenda team popo.
Asante dear! Ulale unonoJamani naomba niwakimbie![]()
![]()
![]()
Kila la kheri nyote.
Niwatakieni mkesha mwema. Love you all![]()

Nishaifuta tayar
Mambo ya kesi mtaa huu ni magumu sana.
Ni bora ifutwe tuu hakuna namna.
Acha utoto hutaniwi?Oooh! Too late nimeshampa![]()
![]()
Bila shaka sauti yako hii ataisikia mhusikaAisee kesi haita kwepo hatukukosi kidhembe hivi
Tuko pekeetu ujue?Oooh! Mbona mapema hivyo? Au kwa kuwa leo ni blue monday?
AminaNi vyema na haki kumshukuru. Na nina imani itakuwa siku njema na baraka tele kwa wadau wote
Umechelewa....tayari!Acha utoto hutaniwi?
Tuko pekeetu ujue?
Heee! Basi tufunge tuondoke au mangi mtata atakuja kufunga?
yap yap man
muelezee muelezee
Mambo ya kesi mtaa huu ni magumu sana.
Ni bora ifutwe tuu hakuna namna.