Hahahaha[emoji23]Sikuweza kukesha, ati nililala nikaanza kuota miamala
Saa ngapi now kichwa0010Hrs
18.07.2021
Monday.
God is good, All the time.
Subiri tarehe 25 dose nyingine kama ya tarehe 3 boss wangu.Mkuu Kichwa Kichafu.
Kwa idhini ya wana msimbazi zawadi yako hiyo[emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1859088
Nimekunywa pombe usingizi hauji sijui ntaamka saangapi!!!Nimeshinda nafanya kazi,nimechoka
Nimeingia kitandani sa 3
sijapata usingizi hadi sasa
Mawazo...
wewe je?.