mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 453
0431
04530431
Unaomba ushsuri ktk uzii huu watu tuko lindo wengine tunamvua MTU nguo za ndani tulaleWakuu nataka kufanya biashara ya kuuza mchele..
Nimempa mtu mtaji na kazingua..
Niko mbali na nyumbani naombemi maoni henu.. Nina mounga mwingi uko stor..
Sikuweza kukesha, ati nililala nikaanza kuota miamalaKesha hapa ila punguza mawazo.
Suala la Tozo ya miamala litapita tu
Hata wewe dear upo sikuweziSikuweza kukesha, ati nililala nikaanza kuota miamala



Wabunge wana posho ndefu nao wapunguze ujira wao kama ni fedha za mshikamamoSalama afande, leo nakesha nimekosa usingizi najaribu kutafakari hii kodi ya mshikamano
Good morning miss.Makamanda
Boss Kichwa Kichafu
Mkuu wa kitengo moudgulf
Kamanda wa zamu Hank_31
Mtunza silaha Shadow7
Tena wakatwe kodi kubwa maana elimu zao haziwaruhusu kulipwa mshahara mnono namna hiyoWabunge wana posho ndefu nao wapunguze ujira wao kama ni fedha za mshikamamo
....Tena wakatwe kodi kubwa maana elimu zao haziwaruhusu kulipwa mshahara mnono namna hiyo