careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,655
04:12
Kama yap? Na sahib kuna kawintaaKuna mambo mengi sana ya kufanya hivyo basi shukuru kwa huo muda unaopata uwe unafanya mambo mengine unaposhtuka muda huo.
Au ndio unashukta zingine zinabaki kichwani?
Ntalala na nan sasaTatizo unalala peke yako
Asante ova, tuwahi kazini jioni0528
Tunafunga lindo
Siku njema kwenu wote
Mi mzima0527
Kwema mkuu
Mzima ww
Kuongeza maarifa ya kitu chochote kile ambacho kina positive impact kwako.Kama yap? Na sahib kuna kawintaa
Mmmmh mbona lindo lilifungwa mapema hivi0528
Tunafunga lindo
Siku njema kwenu wote



Mtafute mshana akupeleke kilingeniNaumiza kichwa namna ya kuila million Tano ya maxence
Aisee naitaman hio pesa sema sijui niifungulie ID nyingineMtafute mshana akupeleke kilingeni
Hahahaha unawaogipa makachero nini mkuu???Aisee naitaman hio pesa sema sijui niifungulie ID nyingine