Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
0335Hrs
14.07.2031
14.07.2031
04:30! Lindo lipo salama kabisa Afande! Kuna matatizo madogo madogo ya hapa na pale,mishale ya saa nane usiku,afande Mwita alinivutia sharubu,kwamba kuna gari imepaki mda mrefu sana pale coco beach,na ilikua inanesa nesa,baadae ikazidi kunesa nesa kwa speed kali sana,kumbe kuna watu walikua wanabanjuka afande,tuliwakamata na wapo oysbey kituo cha Polisi kwa hatua zaidi! Over! Maelekezo yako afande!
Hakikisha hatujazi tena kituo kwa kesi za namna hiiNimefika mkuu, nipatie maelekezo afande
Hakikisha hatujazi tena kituo kwa kesi za namna hii


, nafikiri mkuu wa nidhamu matron onlyalvira ayakuja kulitolea maelezo mkuu...Shukran afande
00:14Shukran afande
Kitambo sana....kichafu kichwa. Mzima?0108Hrs
15.07.2021.
Thursday.
God is good, All the time.
Mkuu habari.Kitambo sana....kichafu kichwa. Mzima?