Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,041
- 2,813
Sawa kabisa haya tuanzeTuwange
Wele mwana nyakuchawa tangalilo komusana!!ainjigilinjigli(manyanga hayo) hapo tunaweka gia ya nne kuruka angani kwenye usafiri wetu
Sawa kabisa haya tuanzeTuwange
Tatizo unalala peke yakoYaan sikuhizi nikinywa pombe tu na nikawahi kulala basi ikifika saa saba sina usingizi mpaka saa kumi na moja huko ndo naanza kusinzia hata cjui tatizo nini 03;44 nimekaa hapa kitandan sahizi nantaa nimewasha
Kuna mambo mengi sana ya kufanya hivyo basi shukuru kwa huo muda unaopata uwe unafanya mambo mengine unaposhtuka muda huo.Yaan sikuhizi nikinywa pombe tu na nikawahi kulala basi ikifika saa saba sina usingizi mpaka saa kumi na moja huko ndo naanza kusinzia hata cjui tatizo nini 03;44 nimekaa hapa kitandan sahizi nantaa nimewasha
+254Mko wapi wanalindo
We're holding up.. somehowMapopoz mpo? Lindoni kunasomekaje wakuu
That is cool mkuu..basi ACHa tushike lindo kwa muda tukiwasubiri mapopozWe're holding up.. somehow
Naaam nalusindikiza lindo na episodes kadhaa😉That is cool mkuu..basi ACHa tushike lindo kwa muda tukiwasubiri mapopoz