JamiiForums Usiku wa manane
Dah Ndugu zanguni ,Mimi hata sijakosa usingizi ila uwa ninaupata kwa shida sana ,maana sina mbele wala nyuma ,nipo kwa Rafiki yangu maisha ni tatizo hivi naongea sijala chochote toka Jana jioni ,ni mwanafunzi niliyeishia njiani kimasomo ,kuna sehemu nilijiegesha Kazi ya ulinzi nako sikulipwa miezi miwili ,asee Ndugu nipe Kazi yoyote nipate mkate na nipate ada nikaitafute degree yangu maana ni muhula mmoja tu ,na Mimi nijiite muhitimu Ndugu ,nawasalimu ,karibu tukeshe wote
Andika uzi, utasaidiwa
 
Pole sana mwamba,aminj ipo siku utatoboa tu, sisi pia tulikuwa kama wewe
 
Back
Top Bottom