JamiiForums Usiku wa manane
Dah Ndugu zanguni ,Mimi hata sijakosa usingizi ila uwa ninaupata kwa shida sana ,maana sina mbele wala nyuma ,nipo kwa Rafiki yangu maisha ni tatizo hivi naongea sijala chochote toka Jana jioni ,ni mwanafunzi niliyeishia njiani kimasomo ,kuna sehemu nilijiegesha Kazi ya ulinzi nako sikulipwa miezi miwili ,asee Ndugu nipe Kazi yoyote nipate mkate na nipate ada nikaitafute degree yangu maana ni muhula mmoja tu ,na Mimi nijiite muhitimu Ndugu ,nawasalimu ,karibu tukeshe wote
 
Maafande wafuatao kesho ni lazima mripoti lindoni, pasipo kufanya hivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa....

1: Kichwa Kichafu
2: onlyalvira
3: Shadow7

Tunawasistiza maafande wote kutokuvunja sheria, kutii na kufuata maadili ya kazi.

Imetolewa na:
Captain team mapopo
Heshima yako boss wangu.
 
Why the tears on your face?
Come down I don’t feel good
When I see my baby crying
And I got love for you
Believe me, I mean it
I don’t wanna lie

You talk about Jennifer
She dey daughter of my aunt called Monica
Nothing going on she is my sister
I am not a terrorist down be America

Nikilala naomba simu usinisogelee
Unachezea moto
Kuna message zao na video zao
Moyo utaupa joto
Unanifuata nyuma nyuma hutaki nitembee
Yaani kila chocho
Mwisho hujanifuma kwao nikifanya nao
Guest ni gongo la moto 🎶
 
Back
Top Bottom