fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
Walinzi daku mmepata
kumbe na huku umoooo..huku ni sehemu ya mapopo vijana hawaruhusiwi
teh teh
Utaniambia ulikua unafanya nini usiku wa manane 

nyauuunimewamis sana watu wa humu..nitajitahidi nirudi aisee
naona wale wote wenye akili wako huku


Ahhh weweNani huyo kavamia kijiwe Chetu?Kijiwe kimekimbiwa na walinzi mahiri sana siku hizi, ngoja niwaite mmoja mmoja, kuna uvamizi huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo kavamia kijiwe Chetu?
Kah kuna wezi nimewakimbiza nimepoteza mpaka kiatu kimojaNyie ndo mnakesha mkituroga tusiache kunywa bia mwezi huu mtukufu.
Nyie ndo mnakesha mkituroga tusiache kunywa bia mwezi huu mtukufu.