qeen jojo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,246
- 3,739
Binamu naona usha pata na mchumba aise
Ndo maan nyumbn uonekan kumbe uko busy[emoji16]
Binamu naona usha pata na mchumba aise
Kabsa kbaaaaa
Binamu naona usha pata na mchumba aise
Ndo maan nyumbn uonekan kumbe uko busy[emoji16]
Hahaha eeeh jana sijapika nilikula somewhere ,Leo hukupika kwanini ona sasa njaa inakupeleka pabaya [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukeshe binamu tukipiga maombi, ngoja nikutimie PM mstari wa Biblia utatuongoza kwenye maombiKabsa kbaaaaa
Binamu si nimekuta unamuita kbsaa sema kachelewa kufika mwambie aje anaijue wifi yake[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sijapata mchumba bado mbona ningemleta nyumbani haraka,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukeshe binamu tukipiga maombi, ngoja nikutimie PM mstari wa Biblia utatuongoza kwenye maombi
Sent using Jamii Forums mobile app
Binamu si nimekuta unamuita kbsaa sema kachelewa kufika mwambie aje anaijue wifi yake
Ataweza kuogelea ile style yetu kwan?barua yangu ya kumposa onlyalvira imerudishwa binamu yani ananionea huyu, ngoja utapata tu wifi subiri kwa kutulia, tumpeleke akaogeree
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2113][emoji2113][emoji2113][emoji2113][emoji2113][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]Ataweza kuogelea ile style yetu kwan?
Nipo kaka...
Amen!!Bwana yesu asifiwe
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
kumbe na huku umoooo..huku ni sehemu ya mapopo vijana hawaruhusiwiTukeshe binamu tukipiga maombi, ngoja nikutimie PM mstari wa Biblia utatuongoza kwenye maombi
Sent using Jamii Forums mobile app
nimewamis sana watu wa humu..nitajitahidi nirudi aiseeAmen!!
Shem karibu sana!! ni kitambo kwelinimewamis sana watu wa humu..nitajitahidi nirudi aisee
naona wale wote wenye akili wako huku