Nipo mkuu,asante sana na kwako piaMkuu upo.....heri ya mwezi mpya
Kidogo mkuu, ratiba za hapa na paleNipo mkuu,asante sana na kwako pia
Ulipotea sana humu lindoni
Karibu tenaKidogo mkuu, ratiba za hapa na pale
Asante mkuuKaribu tena
Mkuu hali yako0000
1.03.2021
Tunafungua lindo
Mkuu unastahili upandishwe cheo, maana huwa unawahi hapa kila usiku unapoingia.0000
1.03.2021
Tunafungua lindo
Hali yangu nzuri kabisa mkuuMkuu hali yako
Bibie umehamia huku12:54
Asante kwahilo mkuu,ila mm bado ni kurutiMkuu unastahili upandishwe cheo, maana huwa unawahi hapa kila usiku unaingia.
Hongera


Mademu kibao nawaona hapa nasi njemba tupoHivi Kuna demu humu au manjemba tu Basi!?
Upate hata vv uwe koproAsante kwahilo mkuu,ila mm bado ni kuruti![]()
Niko poa mkuu.Hali yangu nzuri kabisa mkuu
Vp wewe uko salama??
0118