Nilikua nasubiri kibali chenu Ngoja nikwende, wametuliaKaangalie uje kutupa mrejesho unaogopa Nini?![]()
Nilikua nasubiri kibali chenu Ngoja nikwende, wametuliaKaangalie uje kutupa mrejesho unaogopa Nini?![]()
Jini hiloNilikua nasubiri kibali chenu Ngoja nikwende, wametulia
Nimeona hiyo Kato nikamukumbuka musichana wa ujana wangu alikua akiitwa Grace KatoKaangalie uje kutupa mrejesho unaogopa Nini?![]()
Nikemee?
ndio. nimeliangua usiku huu. Majirani watakuta maganda asubihi wakiamkaKwahiyo usinambie umelifata huko mtini usiku huu! Hushindwi wewe😀😀
Dah sawa bana mkuu, nilimaanisha kuku kweli kumbe una maana nyingine 😜 mshindi weweNilikua nasubiri kibali chenu Ngoja nikwende, wametulia
Kweli usiku wa manane😀😀 usije dondokewa na wadudu hata nyoka bure huko mitini🙌ndio. nimeliangua usiku huu. Majirani watakuta maganda asubihi wakiamka
Ndio mkuu, ni Kuku ila wa kienyejiDah sawa bana mkuu, nilimaanisha kuku kweli kumbe una maana nyingine 😜 mshindi wewe
duh!!!Nilikua nasubiri kibali chenu Ngoja nikwende, wametulia
01:36duh!!!
Kaongo wewe humaanishi kuku huyu 😀😀Ndio mkuu, ni Kuku ila wa kienyeji
Njoo muoneKaongo wewe humaanishi kuku huyu 😀😀
niko makini .. nimeshamalizaKweli usiku wa manane😀😀 usije dondokewa na wadudu hata nyoka bure huko mitini🙌
hajaanza tena?Njoo muone
hajaanza tena?Njoo muone
Mpuuzi huyu anakoloma kama anakufa, ataibiwahajaanza tena?
Mwache aende hatutaki watu waogawaoga sa hivi, ujasiri on point.
SawaNimeona hiyo Kato nikamukumbuka musichana wa ujana wangu alikua akiitwa Grace Kato
Mwache aende hatutaki watu waogawaoga sa hivi, ujasiri on point.




Hujalala nitumie ile misosi basi