onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,117
Pole sana mkuuMajira ya saa 5:28:07 nilipokea simu kutoka kwa sister yangu juu ya taarifa ya msiba wa Bibi yetu mpendwa (Bibi mzaa Baba).
Kwa sasa usingizi umekata, Najipanga kuwapa wazee taarifa mapema asubuhi, wakipata taarifa usiku huu tunaweza kuzua mengine.
Bibi alianza kuumwa zaidi ya wiki 2 zilizopita na alikuwa kwenye mashine ya Oxgen takriban siku15.
Alikuwa amelazwa Hospital ya Mloganzila.
Bilashaka atasafirishwa na kuzikwa Kirua Vunjo Moshi.
Apumzike kwa amani bibi.
