Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,581
- 53,315
Waoga hawatarithi nchiMwache aende hatutaki watu waogawaoga sa hivi, ujasiri on point.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waoga hawatarithi nchiMwache aende hatutaki watu waogawaoga sa hivi, ujasiri on point.
🤔tuwakilishe wewe mkuuNjoo muone
Kula mida hii sio vizuri ndugu ngoja baada ya masaa 5 tu kunakucha [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hujalala nitumie ile misosi basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaaa kunywa Pepsi kwa mangi hapo,utajilipia.[emoji4]
Nimekuona tu nikaisi njaaKula mida hii sio vizuri ndugu ngoja baada ya masaa 5 tu kunakucha [emoji23]
Pespi zimeisha zipo bia tuEwaaaaaa kunywa Pepsi kwa mangi hapo,utajilipia.[emoji4]
[emoji3][emoji3] imagine kua umeshiba then sleep .
Mh hizo zitakuwa za kichawi achana nazo mida ya wanga hii[emoji3]
Ngoja nile korosho na maziwa[emoji3][emoji3] imagine kua umeshiba then sleep .
Bia hupunguza mawazoMh hizo zitakuwa za kichawi achana nazo mida ya wanga hii[emoji3]
Hivi huu mtindo wa kutuandikia majira mliutoa wapi, simu zetu zinaonyesha saa jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]01:57
Unashindwa kulala unabaki kuwaza,Hilo Ni tatizo lifanyie kazi mapema.
Time keeper[emoji848]02:03
Sisi tuna Banana ha hatujafunga
Leo mi time keeperHivi huu mtindo wa kutuandikia majira mliutoa wapi, simu zetu zinaonyesha saa jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app