Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Kama kawaida watoto wa mjini wanasema kama dawa kama kawa.
Kama kalandambwa!
Kama kalandambwa!
O009
Siku nyingine katika lindo
O009
Siku nyingine katika lindo
Basi tukutane chimbo letu lile,mpaka tupate usingizsina wa kunilaza
![]()

Tutoboe basi leo😂😂Hakuna manzi humu,nimekosa usingizi
Kabisa mkuu,tuko pamojaKama kawaida watoto wa mjini wanasema kama dawa kama kawa.
Kama kalandambwa!
Majukumu yanatubana baby shem...ila usijali siku mojamoja tunaibuka kama hivi
mkuu vipi mbona umekuja huku!?00:10
Tunapokezana kudose sheikhnipeni kirungu nikamate shufti ya ulinzi
mkuu Kichwa Kichafu niaje
swafi kiongozi, lindo likoje usiku huu na haya mawingu mawinguNjema kabisa kiongozi.
Habari yako mkuu?
mkuu mamboKabisa mkuu,tuko pamoja
Tutoboe basi leo![]()
Kule kupo shwari ingawa kiti chako bado kipo waziNashukuru Mungu Kwa Neema Ya Uzima Na Afya Na Vyote Kwa Ujumla.
Ni Muda Sijapita Kwenye Uzi Wetu Kule Na Imani Wote Ni Wazima Pia.
Majukumu yanatubana baby shem...ila usijali siku mojamoja tunaibuka kama hivi
swafi kiongozi, lindo likoje usiku huu na haya mawingu mawingu
Oooh! Ulivyonitajia tu lile chimbo nimepata usingizi ghaflaBasi tukutane chimbo letu lile,mpaka tupate usingiz![]()