Hellen Jr
JF-Expert Member
- May 10, 2018
- 303
- 639
Nilikuwa naangalia hiyo game ni ovyo kabisa.
Na najionea tabu tu hapa, mambo ya kukesha siyawezSio kawaida yako kuwa macho mpaka saiz?
Umepeleka wapi usingizi wwNa najionea tabu tu hapa, mambo ya kukesha siyawez

goodnight buddies.😀😀 Sielewi hata, ngoja nikautafuteUmepeleka wapi usingizi ww![]()
04:18 Hrs DAR
Good Morning Team Popos
Uzi closed!
Tukutane tena kesho 0000.
Baby shem naona zamu imekung'ang'ania peke yako yaani jana ulifunga mwenyewe na leo umefungua mwenyewe0003Hrs
11.02.2021
Thursday
TBT
Here we go popo wote na bundi.