Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,296
Tandu huyo mkuu centipedeHuyu ni ng'e au tandu?
Tandu ana balaa zito sana kuliko ng'e mwenyewe!
Tandu huyo mkuu centipedeHuyu ni ng'e au tandu?
Tandu ana balaa zito sana kuliko ng'e mwenyewe!
Huyu ni ng'e au tandu?Roger Roger
Information coming in, kuna mutu amelala na nge saa 1.52am. Information copied?? Over
Before sijavamiwa na hii kitu nilimchukulia poa, balaa lake never seen before 🚶🚶😄Tandu huyo mkuu centipede
ulijua jongoo sio... 😀😀Before sijavamiwa na hii kitu nilimchukulia poa, balaa lake never seen before 🚶🚶😄
Huyo na kunguni nawapa respect na mizinga 21..ulijua jongoo sio... 😀😀
Hapo kwa tandu mbona kunguni mwana tuuHuyo na kunguni nawapa respect na mizinga 21..
Mkuu kama umegoma anza kuvuta hisia za kuwa tajiri, jenga apartment pangisha wapangaji, vuta hisia umevuta x5 BMW huku una familia yenye furaha..pembeni una pisi ambayo upstairs iko njema.Usingizi umenigomea siamini.
😴💜❤️💙💖✨☀️🌠💫🌃
Kunguni hanabtofauti na mchawi, ukiwasha taa humuoni😄😄Hapo kwa tandu mbona kunguni mwana tuu
😀😀😀😀Kunguni hanabtofauti na mchawi, ukiwasha taa humuoni😄😄
Atleast tandu, utamsaka utamuua..
Kunguni hanabtofauti na mchawi, ukiwasha taa humuoni😄😄
Atleast tandu, utamsaka utamuua..ohooooo
😅 Dah Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi.Mkuu kama umegoma anza kuvuta hisia za kuwa tajiri, jenga apartment pangisha wapangaji, vuta hisia umevuta x5 BMW huku una familia yenye furaha..pembeni una pisi ambayo upstairs iko njema.
Utaumaliza usiku wako vizuri sana!
Bado kidogo,Oya mida ndio hii au bado
Pumzika mapema kesho IBADANI. 💖💜Mapema!!
Sina usingizi etiPumzika mapema kesho IBADANI. 💖💜
Tutachelewa kuamka kwenda kanisani sasaBado kidogo,
Acha watoto walale kwanza,
Lakini kesho kanisani.!
Kama una ratiba ya ibada kesho kupumzika mapema muhimu.Tutachelewa kuamka kwenda kanisani sasa
Fanya kitu,Sina usingizi eti