Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,112
0440..asubuhi njema
Tupoo tuna angalia angalia usalama.12:52
[emoji178][emoji170][emoji171][emoji3590][emoji177]
Mkuu niaje3:00
[emoji3508][emoji293][emoji94][emoji92][emoji561][emoji3590]
Hiyo picha hapo.Roger Roger!!!
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] kunguni hawakulani mkuu.0240... Ubaya ni kwamba kunguni nao hawalali maana na wao wamegundua cheat codes zetu
..... Na sie kwa jeuri zetu hatuendi kulala wang'atane wao kwa wao
Usiombe kung'atwa na kunguni wenye hasira.0240... Ubaya ni kwamba kunguni nao hawalali maana na wao wamegundua cheat codes zetu
..... Na sie kwa jeuri zetu hatuendi kulala wang'atane wao kwa wao
Leta kwangu0308.....Dakika42 baadae nakabidhi lindo