B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
🌃🎶
Don't take a nap during the day.2:12
Jicho jeupee...na kumi na moja natakiwa kuwa macho..doh!!
Mmhh..sawaDon't take a nap during the day.
We nani anashika nafasi angu![]()
![]()
Wakulungwa! Kumekucha
Kingine labda muda uko kitandani unatak kulala unakua unawaza sana,Mmhh..sawa
UsiogopeNimeamshwa na kishindo kikubwa kilichotokea ndani, nimezunguka vyumba vyote holla, ila nilichokiona parking kimenirudisha kifikra wiki mbili zilizopita, dunia ina mengi, ngoja nijaribu kutafuta tena lepe la usingizi