B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Sikiliza muzikiUsingizi umekata ghafla
Sikiliza muzikiUsingizi umekata ghafla
Mziki ndo utanivuruga kabisaSikiliza muziki
So hapo parking umeona nini?Nimeamshwa na kishindo kikubwa kilichotokea ndani, nimezunguka vyumba vyote holla, ila nilichokiona parking kimenirudisha kifikra wiki mbili zilizopita, dunia ina mengi, ngoja nijaribu kutafuta tena lepe la usingizi
Haitowezekana lazima utapitwa na usingizi2:12
Jicho jeupee...na kumi na moja natakiwa kuwa macho..doh!!
Stay calm and think about things you're planning to do next.Mziki ndo utanivuruga kabisa
Acha kuangali UibiweUmeme umekatika usiku huu
Na kuna fukuto balaa... aisee ngoja niamke hata nichungulie kidogo..au nasema uongo ndugu zangu?
Pole kiongozi, kwangu pia umeme umekatikaUmeme umekatika usiku huu
Na kuna fukuto balaa... aisee ngoja niamke hata nichungulie kidogo..au nasema uongo ndugu zangu?
Maybe inaweza kusaidiaStay calm and think about things you're planning to do next.
![]()
Kuna watu tumefikia pahala hatupendi kulala,Maybe inaweza kusaidia
Shida ndio iko hapo,mambo ni mengi sana ukisema ulale ili upumzishe akili, usingizi wenyewe unakata unabaki kuwaza.Kuna watu tumefikia pahala hatupendi kulala,
Mambo ni mengi, mda ni finyu.
![]()
Maisha yanatukosesha furaha.Shida ndio iko hapo,mambo ni mengi sana ukisema ulale ili upumzishe akili, usingizi wenyewe unakata unabaki kuwaza.
Nimeamshwa na kishindo kikubwa kilichotokea ndani, nimezunguka vyumba vyote holla, ila nilichokiona parking kimenirudisha kifikra wiki mbili zilizopita, dunia ina mengi, ngoja nijaribu kutafuta tena lepe la usingizi
Usingizi umekata ghafla
Kuna watu tumefikia pahala hatupendi kulala,
Mambo ni mengi, mda ni finyu.
![]()
3:20
Usiku ni mfupi sana