B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Ndo nakabidhi lindoPale unapopata nafasi jitahidi kulala.
Kulala ni afya kwa mwili wa binadamu.
💫🌠✨🌃
Ndo nakabidhi lindoPale unapopata nafasi jitahidi kulala.
Kulala ni afya kwa mwili wa binadamu.
Ndo nakabidhi lindo
[emoji94][emoji293][emoji92][emoji561]
Nimeshafika mzee baba
😅 Kwani kuna mtu asiyelala mzee, ni muda tu unatofautiana.Shukrani mkuu hata sisi tunapenda kulala sana ni bahati mbaya tu siku moja moja mnatuona humu.[emoji23]
Uyu alitokomea😅Karibu sana boss ndio muda wetu huu.
[emoji28] Kwani kuna mtu asiyelala mzee, ni muda tu unatofautiana.
Uyu alitokomea[emoji28]
Doctizo Mtengwa popo nguli wa humu atashika nafasi yako boss.
Ndo nakabidhi lindo
💫🌠✨🌃
Nimeshafika mzee baba
Popo & Bundi Na Species Zote Karibuni Jamvini Ndio Mida Yenyewe.
UpwekeYaan leo usingiz umekata kabisa tangu saa nane dah! Na hii ni saa 4:37 cna hata dalili cjajua tatizo nini
0452Hrs
31 January 21
Sunday
Sina hakika maana sina huo upweke lakini..Upweke
Kiongozi ,
Popote ulipo , tunajua hakuna matata