itara
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 2,240
- 1,576
Nilijidai nakula diet, ni kanywa glasi ya maziwa nikaiacha pilau jikoni ikiwa imepaliwa , kuna ndoto ya ajabu ilinistua ndo hio ikakata usingizi, nikiwaza kuamka uvivu na tumbo linanguruma tu.,Mkuu umeshtuka toka usingizini unakuta tumbo lipo empty
Mie na diet za usiku ndo mwisho leo sitaki utani na mwili

1:22


