mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,699
- 2,355
00:14
nimependa lips zako, zinafaa sana kwa usiku kama huu🚮0351
Lala mkuu,ila niachie hilo rungu ndiyo naingia mzigoni0054
Niwatakie usiku mwema usio na usingizi🚮
🚶🚶🚶
Hapa Jeiefu ipo ngoja nikuelekeze njia0100
Sioni kama kunakulala
Nkatafute night club iliyochangamka
🍻🚶🚶🚶
ucjali mkuu, ila sioni kama kunakulala hapaLala mkuu,ila niachie hilo rungu ndiyo naingia mzigoni
Mkuu......00:35
Pamoja.....ucjali mkuu, ila sioni kama kunakulala hapa
We litumie ila me bado nponpo hapa🍻🍻🍻
ucjali mkuu, me npo mkoan huku ko ucjali city pub patanifaa tu🙌🙌Hapa Jeiefu ipo ngoja nikuelekeze njia
kesha lala huyu., afu hata hajaaga😏😏😏Mkuu......
Ngoja atajibu kesi keshokesha lala huyu., afu hata hajaaga😏😏😏