Wazee wa vyombo hao wapo wanaweka heshima Bar.
Wazee wa vyombo hao wapo wanaweka heshima Bar.
Wacha kabisa huu mwaka unatutesa sana.Wambie tu mwaka huu hakuna kupata raha sana!
Ooh 😂😂 kumekucha sasa nenda PM huko.Sijui hata kwanini nimekuelewa mkuu!
Oohkumekucha sasa nenda PM huko.
Nilipoteza neno siri la kuingia humu ,so nikawa siwez comment nasoma tuHilo nimeliona nikawa najiuliza inawezekana ww sio active member sana humu. Au ndiyo una I'd mbili![]()
Sawa mzee wangu.Uchawi hautakusaidia lolote, kaa kwa kutulia.
Pole, sasa ulipata uliwezaje kulipata mpaka ukaingia ñ?Nilipoteza neno siri la kuingia humu ,so nikawa siwez comment nasoma tu
realyIt make sense but usipo rest in peace utawasumbua sana watu
Nilikuja kuona sehemu ambayo nilitunzaPole, sasa ulipata uliwezaje kulipata mpaka ukaingia ñ?
Mambo ya vibweka wengine niwaoga sisirealy
Aah kweli hatariNilikuja kuona sehemu ambayo nilitunza
uoga ndo kitu ambacho akitakiwiMambo ya vibweka wengine niwaoga sisi
Watu wapo busy wanafanya yao wakulewa wanalewa, kujigi jigi wanafanya yao mambo yana kwenda kasi sana.Wana lindo wengi siwaoni leo
Mtu amekufa alafu anakusumbua haya mambo unawezaje kuzoea!!uoga ndo kitu ambacho akitakiwi