Ukilewalala
JF-Expert Member
- Feb 18, 2018
- 542
- 1,112
Sikukuu bila fedha anko!! .. Imekua ni fedheha tuSikukuu iliiendaje wazeya, nawasalimia
Sikukuu bila fedha anko!! .. Imekua ni fedheha tuSikukuu iliiendaje wazeya, nawasalimia
Uko wapi tuje asee....Uzuri wanguu wa kuzaliwa naooo, pesa ninayoo ya kutumiaaa, gari la kutembeleaa ninaloo. Nyumba nzuri ya kulala ninayooo mamaaa!
Wellah! Wellaaaàah! Njooni tuserebukeeeeeeeee!!!!
Pole mkuu, ndiyo maisha kuna kupata na kukosaSikukuu bila fedha anko!! .. Imekua ni fedheha tu
Wewe ni ke au meUzuri wanguu wa kuzaliwa naooo, pesa ninayoo ya kutumiaaa, gari la kutembeleaa ninaloo. Nyumba nzuri ya kulala ninayooo mamaaa!
Wellah! Wellaaaàah! Njooni tuserebukeeeeeeeee!!!!
Uko sawa bro.... Kikubwa uhai na afya njemaPole mkuu, ndiyo maisha kuna kupata na kukosa
Kweli usingizi sijui hata ulikotokea nikiwa lindo dah😀kesha lala huyu., afu hata hajaaga😏😏😏
Iyo username yako inanikumbusha sitcom moja inaitwa Bob hearts Abioshola, kuna mwana anaitwa chukwuemekaGoddess umepotea lindoni, Super Villain mleta huyu mtu
Ndiyo limetokea huko mkuuIyo username yako inanikumbusha sitcom moja inaitwa Bob hearts Abioshola, kuna mwana anaitwa chukwuemeka
00:5800:42
Breaking Bad S2Ep11Agent of Shield S1Ep2
12:33
0010
In