onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,117
Kabisa na niko eneo la tukio tayarikaribu nadhani unakumbuka lindo lako
01:10
Kabisa na niko eneo la tukio tayarikaribu nadhani unakumbuka lindo lako
01:10
Asante mkuu,nawe piaMerry Christmas mkuu
Kheri ya sikukuu wana lindo
Mpoooooo
Na kwako pia mzee wangu.Heri ya xmas wanalindo wote,hakika amezaliwa kweli
Na kwako pia mzee wangu.
It make sense but usipo rest in peace utawasumbua sana watu
Nakuona mambo mazuri siku hizi mzee wangu.Blaza blaza!!
Nakuona mambo mazuri siku hizi mzee wangu.
Naona umeshikiria kitengo Askali wa zamu.Kikubwa uhai tu!
Ni new comer 😂😂 ila yuko vizuri kwenye ufanisi wa kazi aendelee kupiga kazi atapandishwa cheo soon.Hahaha, hivi huyu onlyalvira ni dirisha dogo au on loan!
Ni new comerila yuko vizuri kwenye ufanisi wa kazi aendelee kupiga kazi atapandishwa cheo soon.
Mkuu mm ni new comer kwenye huu uzi ila member wa longNi new comerila yuko vizuri kwenye ufanisi wa kazi aendelee kupiga kazi atapandishwa cheo soon.


Hilo linawezekana pia maana huu mchezo fitina zimo mbonaMachale yanicheza, nikahisi kavesha jezi mpya tu kwa juu!
Hilo nimeliona nikawa najiuliza inawezekana ww sio active member sana humu. Au ndiyo una I'd mbili 😕Mkuu mm ni new comer kwenye huu uzi ila member wa long![]()